Kenya's No 1 GhettoRadio

Judgiko ametolewa siaka na suspect ndani ya kotiko

0

Kuna judgiko Mombasa ilibidi ameng’ada njei ya kotiko jana after suspect alikuwa kwa docks alitry kumkuta war kesi ikiendelea.

Kuna vida wasee wana share, unaweza kemba huyo mjango akibishana na Magistrate Edna Nyaloti kabla atoke kehuti.

Ismael Mustafa alivurugana na bodyguards kwa kotiko judgiko akichuchuma.

Alidai hatambui huyo judgiko na alitaka kesi kutransfaiwa hadi mbwenya ingine.

Alisema haamini judgiko na kwa hivyo hange get justice.

Baaden alilemewa na security na wakamrudisha cell.

Mustafa amechargiwa na kufungua boot ya kaboy area code inajulikana kama Jomvu, yenye iko Bangladesh slum.

Judgiko alimsamehe na kukubali kesi kuendelea.

Hio ni mara ya mbexe ame try ku attack huyo judgiko.

Inasemekana on Feb last year, Mustafa alipenya manyu ya mtoi wa miaka utat.

Alikwara hizo charges na kuwachiliwa na bondiko ya mote soo mbexe.

 

 

Comments
Loading...