Wasee wa village inaitwa Kamirithu yenye iko Limuru, jana walirauka na kuget kaburi ya yut alizikwa hapo iko empty.
Huyo yut alibugda akiwa 15 years, na alipandwa last week Thursday.
Ian Kamau Wanjiku alizikwa Kamirithu public cemetery after kunyuria kutokana na Covid 19.
Ati sasa Monday magizani kuna wasee walichimbua kaburi, lakini hawakusanya coffin alikuwa nditni.
Auntiko wa huyo yut, Hannah Wambui, anadai hio maneno iliwashangaza sana juu hawajui ni warazi wagani wali do hio mambo na walikuwa na plans gani.
Mambang’a wa stenje iko Togoni walimuok na ku confirm body bado iko area, though hawajui mbona ilitolewa kwa kaburi.
Walimpanda mara ya mbexe na waka promise ku investigate hio mambo.