Kenya's No 1 GhettoRadio

Kanjo wame introduce rules genje

0

Kanjo wame introduce rules mpya za kumaintain usafi Kanairo.

Ziko nditni ya Nairobi City County Public Nuisance Bill, 2021, na isha signiwa na Acting Gavaner Ann Kananu.

Kati ya hizo rules, wame ban kublow mapua kama hauna handkerchief ama TP, kunyora nyora ovyo ovyo na kuna toile za kanjo, kutema mate kwa street, ama kudoze kwa ma hoteli ama places wanandonyo keroma.

Pia inakazia kumwaga wabling chafu ama sewee kwa baro, kumwaga oil kwa baro ama roe, na ku obstruct baro.

Pia imedai ni ngori kuwachilia miti zigrow hadi kwa baro, na ukipatikana unaendesha senke kwa warosho, unabambwa, kuwachilia debe ichune unabambwa ama kublaze fwaka kwa undesignated places unabambwa.

ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/kisumu-street-children-treated-to-a-party/

Kananu anasho wasee kunauwo hizo rules wasijipate kwa ngori

County executive member for Environment, Energy, Water and Sanitation Larry Wambua ali big up MCA wa Riruta Kariuki Kiriba kwa kuunda hio bill kwa assembly.

WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=II-eobBgU3w

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...