Kuna nguna ali cause drama Embu after alimkuta sanse alisha retire na kudaisha child upkeep.
Huyo madam alimvuruga huyo mjango, mbele ya raia hadi wasee wakajibamba na hio sinemaree
Kuna vida ime enda viral kwa social media na unaweza skia huyo nguna akidaisha mote soo utat za child support
Alimuita huyo mbaru kama Mureithi, na inasemekana ni karau ali retire kutoka Voi kama base commander
Huyo nguna anadai alikuwa ashafikisha hio maneno hadi kwa kotiko ya wanajiu lakini huyo mmbanga amemlenga
Alimganda hadi public waka mhurumia huyo mjango, lakini wapi.
Ilibidi mambanga wako patrol kumsave.
Cha kushangaza, huyo ndio sanse alimnyanyua Gavaner Sonkodeh ile time alibambwa akiwa Voi juu ya corruption.
Sasa after hio kipindiree kutrend, Sonko alikajaza na kudai Mureithi asare hio vako ya udeadbeat na akuwe Man A lion asupport mtoi wake, na kama amelemewa, anaweza mchotea hio kappa soo utat