Kenya's No 1 GhettoRadio

Karau amerudisha mita 26 alikafunga nayo kupitia bribery

0 1,169

Kuna karau wa traffic Garissa Thika highway amekubali kusurrender mita 26 alijijenga nayo kupitia bribery.

Inasemekana ni mraia walijam juu ya vile yeye huchotewa muadhara wakapeleka Ethics and Anti-Corruption Commission na riang’.

EACC wanadai huyo sanse alikafunga within 6 years akiwa hio baro, ako na property kibao hadi ngondo ya kama mita 47.

Mita 26 kwa baroda kotiko ime freeze.

Huyo sanse ali negotiate na EACC na akakubali kusurrender hio account ya ngive.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/pangani-youths-decry-unlawful-demolitions/

Akijitetea alidai mali ingine aliwai kupitia livestock trade na zingine ni inheritance budake alimwachia.

Huyo mbaru ni 44 years, na ati ali inherit ngamia 120, mangombe 80 na mbuzi jil kutoka kwa buda wake.

Evidence zilishow alikua ana deposit kati ya thao soo mbexe hadi 500K kwa wiki.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=8CSEdtp3Hb8

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More