Kenya's No 1 GhettoRadio

Keja ya peddy imesetiwa nare na mraia

0

Wasee mtaa inaitwa Canaan yenye iko Nyandarua wameseti nare keja ya mjango anasuspectiwa amekuwa aki peddy ngwai hio area code.

Walijam na yeye juu inasemekana amekuwa akindonyo tire kwa mayut bado wanachop, hadi wa rima.

Mapero kibao hio mtaa wanadai imekuwa ngori juu ya ngori juu kuna waniaju hadi husanya ngweks na kuzikinda ndio waget maweng ya kubuy highgrade.

Nyandarua Central Sub-County Police Commander Abdullahi Dahir ame confirm hio riba, akidai wanamsakanya huyo peddy mwenye alienda missing

Inasemekana sio mangweks zinalost pekee, kwa keja ya huyo mjango kulikua hadi na mabarbed wire na burungo kibao inasemekana zilisanywa ndio wafanye batter trade na nguai.

Wasee wa hio mtaa wanadai walikuwa washapeleka mambanga na rieng lakini walilalisha na ndio maana waliamua kudeal na mjango wenyewe.

 

 

 

 

Comments
Loading...