Kenya's No 1 GhettoRadio

Kisii mayut wamebambwa kwa ng’ang’u wakipigana miti

0

kuna mateeny 38 village inaitwa Kemboa, Kisii County, walibambwa wakitei na ng’ang’u na saa hizo wananyanduana kombi.

Maboyz walikuwa 34 na mayengs walikuwa wanne pekee.

Mambaru wanadai hao suspects wote wako kati ya 14 years hadi miaka mbaula

Hapo kwa hio zabe mambanga waliget makondiko 14 zenye zishafanyiwa service.

Bado kwa scene waliget mashash kadhaa

Kisii County Police Commander, Jebel Munene, anadai kwanza washapelekwa quarantine Kisii High ndio after hapo waone vile wata deal nao.

Comments
Loading...