Kenya's No 1 GhettoRadio

Kisii wamedemo after karau kumnyuria hawker

0

Kisii county leo kumethoka after mraia kuamua kudemo stenje iko Marani wakizusha after mjango alishandwa kwa soko juu ya kundonyo sanitizer imbo.

Huyo morio alishandwa mako inaitwa Rioma jana jioni, na imefanya wasee ku riot, na kama kawa, kuna magoons wame take advantage kuvandalise na kuloot mali.

Hadi hio stenje ime vandalisiwa.

Kulingana na Chief wa hio area code, Evans Onchiri, alikuwa kwa mako akikinda hizo sanitisers na ndio wakamnyuria na ridhee kwa chest.

Bado haijajulikana ni nani.

Ati mbang’a ali do hio ungati alitoka siaka na anasakanywa bado.

Comments
Loading...