Kenya's No 1 GhettoRadio

Kotiko imedai Uni kumjenga peng ting miti basa juu walitumia mboto yake

Kuna kotiko imemjenga stude wa tenee Machakos Uni tenga soo basa juu mboto yake ilitumika kwa advertisement bila consent yake.

Jajiko Margaret Waringa wa High Court Macha, ali declare hio campo wali violate fundamental right yake ya privacy and human dignity wakati walitumia mboto ya Catherine Njeri kwa commercial advertisement.

Njesh kwa petition ali file on October 26th, 2021, alidai motive ya hio uni ilikua mastude kibao ku enroll ma courses za miti basa.

Anadai alipigwa hio mboto kama hana riang.

READ ALSO; Wamepiga Koto Keja Ya Jajiko Embu

Sasa anamaanisha hio campo ilimgeuza mboka na wameingiza maziwa.

Hio kampo walikubali walitumia mboto yake juu ali graduate huko, but wanadai ni campo ya public, so hawakuitumia kupata mkwanja.

Njeri alikua anasakanya compensation ya mita das.

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...