Kenya's No 1 GhettoRadio

Kuna maguangi wanajidai ni response team ya coronavirus

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Kuna mbogi ya maguangi wanajidai ni madoky wa Covid-19 response team, hutarget ma anti rada na kuwadingo

Wasee wanachanuliwa kuwa ridhoo, wasee wakiquom kwako wakidai wametumwa nag ova kuchukua patient ako na corona

Inasemekana uki suspect hao wasee, vutia corona operations centre ama uwapeleke na rieng kwa social media @kingakorona

Inasemekana hio gang already washasanya makeja kwa wanyoso, sana sana Runda, Ruaka na lavi.

Operation Kinga Corona wako based Emba na mbiggy wao ni Major General Ayub Matiiri

Hio multi agency iliundwa March 25th na ina include Ministry of Health, National Police Service, National Intelligence Service, Immigration na Ambulance Services.

Wako works 24 hours na shughuli yao ni kutrace wasee wana suspectiwa kuwa na coronavirus

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More