Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Kuna Mkenya Anandonyo Mrambe UK

0

By Nicanory Muhando

Kuna mkenya anakafunga mayolo juu anandonyo mrambe corporate na anaiita Muratelia.

King’ori Wambaki, alizaliwa Othaya, sasa ni kuomoka after kuchachisha UK design hio ratish ni kama wine iko na asali.

2018 kuna judgiko, Magistrate D N Musyoka, alitambua mrambe kama traditional customs ya wasapere, na akarule ku ibrew ama kumochoa Muratina kwa bash za kisapere sio illegal.

- Advertisement -

Hii wanandonyo UK, alcohol concentration yake ni 12% na wanandonyo kwa macustomer chini ya 35 years.

Hadi High Commissioner wa Kenya UK, Manoah Esipisu, kwa twittment ali confirm mrambe inasonga kusonga London.

Mboto wasee wana share inasho hio tei ime pakiwa kwa mzinga supu ya black and gold, design ya champagne, alafu wanachocha ati inamuok tifi uki mellow na ka nyagu na salad.

Chupa jamo inandoyo kati ya mote moja na punch hadi mote nnei.

Comments
Loading...