Kenya's No 1 GhettoRadio

Landlord ameng’oa mabati ya tenant juu ya rent

0

Kuna landlord bunny area code ya Nax aliamua kung’oa mabati za tenant wake juu alichelewa na rent ya mote utat na punch

Eric Mbuhia anadai landlord wake, Francis Njuguna, alimkuta muadhara last Friday akidai rent ya last month na za this month.

Mbuhia ni 35 years na anastay mtiech inaitwa sewee hapo nax, na ako na wajuniour mbexe

Mbuhia ni msee wa mjei na pia ako na nduthi, lakini wera imesimama after outbreak ya rona

Landlord alienda hapo na wasee mbexe na aka wa order wang’oe roof na akazitingia kwa store

Ma well-wishers walitry kumchangia lakini landlord alikwara

Saa juu ya hio noma, amekuwa akidoze akikemba ma stars siku utat, njeve ikipiga wajuniour.

Hii iki happen, jana area code ya Juja kuna landlord mwingine alingoa doe ya msee juu hajakanja rent.

Juzi Uunye alibonga na ma landlords waelewe ma tenants, wacheze kama hao

 

Comments
Loading...