Kenya's No 1 GhettoRadio

Landlord bunny amemwaga sewage kwa keja ya tenant

0

Kuna landlord ngati aliamua kudrill shimo kwa roof ya tenant wake na kumwagia sewage, but kwa mbwenya ali deny charge ya breach of peace contrary to the Penal Code.

Evans Momanyi ana accusiwa kumwaga siang’a ndani ya keja ya Caroline Nyakerario’s after kuchimba shimo kwa ceiling ya house mbuner 11 yenye iko Raila village yenye iko Lang’ata on October 11th.

Ngori ilikua juu ya rent, sasa mjango akapanda kwa roof, akamwaga hio sewage hadi ikamwagikia bed na stuff zingine bedroom.

Mzae wa Nyumba kumi aliingilia kati na kutuliza noma, lakini bado hao mbexe walibaki wakiwa na beef ndio akawasho waishie kwa mbwenya.

Momanyi ali arrestiwa na kuchargiwa juu ya hio noma, lakini alideny mbele ya judgiko wa kotiko ya kibich Sharon Maroro.

Aliwachiliwa na cash bail ya miti kinde na kesi ita mentioniwa on November 16th.

 

Comments
Loading...