Take a fresh look at your lifestyle.
Kenya’s Number One GhettoRadio

Lawyer amestabbiwa na msupa wake juu ya text

0 490

Kuna lawyer wa kanairo ako hosi onyatto mbwaya sana na ni after ali stabiwa na msupa wake after walizushiana juu ya messo ilimuok kwa rauo yake kutoka kwa ngeus mwingine.

David Ochieng ako na 33 years alistabiwa mara utat, kwa collar bone, abdomen na mgongo, na hio ngori ili happen mtaa ya Ummo Innercore.

Kulingana na ripoti ya mambanga hio kipindiree ili happen jana magizani, huyo mshi, Linda Okumu, ni 24 years, na ni stude wa campo Eldy, alimweka mpini huyo mjango after alikemba messo kwa tenje yake.

- Advertisement -

Hio messo ilikua ya nguna alikua anadai ganji askumiwe.

Morio alikimbizwa hosi Mama Lucy saa nane ngware, lakini akakuwa referred onyatto after igundulike condition sio bie.

Huyo dem wake ashabambwa na ako nditni stenje investigations zikiendelea.

 

Comments
Loading...