Kenya's No 1 GhettoRadio

Lockdown imesababisha shortage ya mandiske

0

Kampu biggest in the world ya kuunda ma kondiko wana warn kuna global shortage ya mandiske

Karex Bhd, iko Malaysia na ndio the worlds biggest condom maker, wanadai ilibidi wametinga factories zao utat juu ya lockdown hio country.

Inasemekana kuna shortage ya mandiske mota soo moja na huwa zina marketiwa na makampu kama Durez ama ma gova za ma country

Hio kampu wanadai wamepewa permission nag ova yao kuendelea kuunda games kits za malion shida ni wasee wa job pia ni less

Apart from Malaysia, ma CD pia huundwa China na India, na pia huko wame affectiwa na Corona Virus na kuna Lockdown.

CEO wa hio kampu, Goh Miah Kiat, anadai demand pia imeongezeka juu wasee kibao wako makejani na sekete ndio activity inaendelea sana kwa country ziko na lockdown na curfew.

Hio kampu humanufacture zaidi ya makondiko 5 billionkwa mwaka na wanazi export kwa countries more than 140.

Shida ingine magova zimetinga maborder, sana kuna chances lungula ni dry dry

Comments
Loading...