Kenya's No 1 GhettoRadio

Ma empress zangaro wanadai conjugal rights juu ya dry spell

0

Ma empress wa zangaro iko Kilifi inaitwa Mtangani GK, wanamomba gava kupitisha law itawakubalisha ku enjoy conjugal rights na watu wao wakiwatembelea, yaani at least once in a while sekete katambe.

Hao mangeus walidai malion wao waki quom through visiting, huwa wanapewa time fupi, hata haitoshi ya kamunju

Wakifanyiwa interview kwa mbulu, mmoja wao, Sofia Swaleh, alidai gava inafa ku introduce bill itasaidia wale wame sentenciwa for life ama miaka kibao, at least waweze kutoa kutu.

Lakini senior administrator wa Mtangani Prison alidai sheria ikipitishwa pekee yake ndio wataweza kukubali ma inmates wako na dry spell kupona.

Request ya hao waroro inatokelezea time risto za kuni kusonga sana zangaro, machichiman kwa za machali na malele wametake over kwa za mangeus

 

Comments
Loading...