Kenya's No 1 GhettoRadio

Madere wa masubaru wana warniwa na NTSA

0

Madere wa Subaru wana warniwa na NTSA wasaree kujichocha kwa baro venye hao huspin hizo ndai teke, juu makesi kibao za accidents zina causiwa nao.

Director General wa NTSA, George Njao,, alikuwa anabonga National Safe Roads Programme iki launchiwa, alidai sana sana ni mayut wa kampo wenye wana ma Subaru ndio mezesha.

Ati yutman akishalamba salo yake ya fao, yeye hufikiria kubuy mrenga na Subaru zinapendwa juu ya vile ziutoka teke.

Wamedai watawork kimoja na na macolle na Technical and Vocational Education centres kureduce ma accidents.

Kulingana na NTSA, wasee 2,689 walimanyuria kwa accidents kati ya January 1st hadi September 30th na kwa hio mbana, most ni mayut.

Causes zingine za accidents ni kuspin kama umetei, pedestrians kutumia baro vizii, baro zime beat, fatigue na kulenga traffic rules.

Comments
Loading...