Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Madingo walidimbua mbese na nyagu after kupiga koto wanasakanywa

0

Mambang’a Nyamira County wanasakanya mbogi ya maguangi nane wenye walipiga koto keja, wakaspin mbese na kuidimbua na nyagu alafu kudingo burungo after wamestack.

Hao madingo walikua wamedunga jalle za jungle, walidingo keja ya Stephen Gichana mtaa inaitwa Bomondo.

Ripoti ime filiwa Nyamira Police Station inadai hadi walimgonga kwa mdihe na blunt object.

- Advertisement -

Ilikua magithaa ya saa mbexe jioni, walimfunga huyo mzae na wife Damaris Kemunto, na kamba, alafu son pia akatingwa.

Wakasaksua keja yote na kupita na mali safi kama matenje, Samsung ya miti chweza, Oppo ya mote omba na tonji na miti 70.

Wakikemba njifri wakaget nyagu, juu ya hio kazi yote wakaamua warudishie mwili shukrani na mbese na hio nyagu.

Hio kipindiree yote ilikua kama 2 hours, after hapo waka give thanks kwa hio familia juu walikua cooperative, alafu wakang’ada.

Comments
Loading...