Kenya's No 1 GhettoRadio

Madingo wamebambwa na bonoko

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Mambang’a Trans-Nzoia County jana jioni walibamba mayut mbexe wenye walikuwa wanadingo wasee wakitumia ndeng’a bonoko

County Police Commander Ayub Ali anadai yut anaitwa Enock alinyafuriwa wallenje saa moja jioni akirudi home, pamoja na  tenje ya mote 15, ndula za kama thao mbexe na kappa ngovo kwa mbosho, area inaitwa Nyota

Sasa hao maguangi waking’ada ndio huyo yut akapiga nduru

Bahati yake kulikuwa na masanse wanafanya patrol na wakawabamba hao madingo, Joshua Maina mwenye ni 23 years na Elly Asutsa mwenye ni 24years.

Wako saa hii stenje ikipangwa vile watafikishwa mbwenya

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More