Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Madingo wameponea after kugandwa na wasee wa nduthi

0

Manjege jana ma aftee walisave mbogi flani ya maguangi wenye karibu wapewe ‘team building’, aka kukutwa mob justice na wasee wa nduthi.

Hao maboys utat walipatwa wakipiga koto ndai na hao wasee wa nduthi na ndio wakaganda viserious

Walikuwa wanadhani hawakembwi lakini wasee wa boda walikuwa rada yao.

- Advertisement -

Walikuwa wametegea bazu mwenye ndai ameenda kwa ngive Gateway mall emba kuwithdraw maziwa na ndio wakaenda kusanya

Walikuwa wamefika kwa scene wakiwa kwa ndai mambanga wanashuku bado ni ya kusanywa

Kwa masiku kadhaa sasa madere wamekuwa wakizusha vile madingo wamezidi

Manjege nao wanaadai hio mbogi ita wa help kubamba wengine

Comments
Loading...