Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Madoky wanabuya juu malion wananyuria mtaani juu ya sex pills

0

By Nicanory Muhando

Makesi zikizidi kumokre za malion wanabugda wakiwa ithaa ya sekete Kenya, imefanya Pharmaceutical Society of Kenya kumuok na statement.

Prezda wao, Dr. Louis Machogu, anadai wanashuku ngori ni wasee wana abuse ma sex pills.

On Friday waki decode hii riba, aliwarn wasee wasare kutumia madree za sexual performance enhancing bila kuwa consult.

- Advertisement -

Zenye ziko kwa mako ni kama sildentafil, tadalafil, vardenafil na avanafil, but mtaani zinajulikana kama Blue Pill.

Walidai ukitumia hizi madree ndio mjulus iperform kuruka, kuna chances kutakua na side effects.

Mild effects ni kama headache, nose-bleeding, discomfort na uchungu upper abdomen, kushindwa kudoze, ngozi kuwa red, kubieo kuruka,dizziness na rashes.

Severe effects ni decrease in blood pressure, vision loss, kumbao ovyo ovyo, na wasee wako shida za heart, wanaweza get heart attack wakipigana miti.

Comments
Loading...