Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Madonda wa nganya wamenyuria after kubondwa kwa momo

0

Madonda mbexe wenye walikua wamehang kwa doe ya nganya ilikua Jogoo rd sato magizani walimanyuria after kufinywa kwa momo.

Dere wa mat ndio alispin nganya hadi kwa hio tipa ilikua imepark kwa baro Hamza, kwa rotejo ya kuingia Buru.

Hio nganya inaitwa Masta Mind Mamba ya Ummoiner na inatesa sana Jogoo rd.

Riba tuna get ni ati dere wa mat alikua ana avoid kujibonda kwa mrenga ilikua kwa hio rotejo, na ndio akajipata ameingia hio lorry.

- Advertisement -

Inasemekana huyo dere alikua ame banniwa tenee asi spin miezi sita na NTSA juu ni mauru wa baro.

Ku adisia ati alikua amekanjwa squad hio rush hour.

Hio junky inasemekana ni blackspot.

Hio ngori ili ripotiwa stenje Okongo na mat ika pelekwa garage.

Comments
Loading...