Maguangi mbexe wamekang’wa wakitry kupiga koto hardware store yenye iko Easich.
Ni members wa mbogi ya mtu sita, walikua wanatry ku access ndakas ya Jamarat hardware jana usiku.
Mbiggy wa DCI, George Kinoti anadai hio mbogi walifika scene wakiwa kwa pick up ready kusafisha mali.
Mambang’a walipelekwa na mtaratarata, wakamuok, waka exchange maitoka.
ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/mdenge-amemnyuria-chali-wake-juu-anamcheat/
Wenye waling’ada walisepa na injuries za maridhee.
Manjege walirecover kidungi na rounds utat za 9mm, claw bars na machuma kadhaa.
Walikua washaanza kubebesha tanks mbexe za wabling.
WATCH; https://www.youtube.com/watch?v=417MSp7nBwg