Kenya's No 1 GhettoRadio

Makeja zimechomeka Namba Nane

0

Wasee area code inaitwa Mashimoni yenye iko namba nane wamebaki na hasara bwaku after makeja zao kuchomeka kuamkia leo.

Inasemekana makeja zaidi ya chweza zilichomeka hizo magithaa kumaanisha mafamilia kibao wako homeless.

Riba tunaget ni ati kuna msee aliwacha msuma ikiwaka kwa keja na ndio ikashikisha nare.

Bahati mzuri hakuna msee ameumia ama kunyuria.

This time zimma moto wa kanjo wali come through teke na kuidim

Wasee hio area code sasa wanaomba gova na well-wishers kuwaokolea.

Comments
Loading...