Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Mama pima amenyuria after kunyafuriwa ganji na masanse

0

Kuna masanse wako kwa ngori baada ya ku raid Mthama anandonyo changli Trans Nzoia county hadi aka kudunda na kuchew alafu akamanyuria, after walimnyafura ganji.

Hao manjege wali raid zabe ya Scolastica Marada Thuraday last week

wakadai wamekujia “protection fee”, alafu wakamnyafura kibenje yake yenye ilikua na miti salasa.

Mtasis wa Marada, Nekesa, anadai Marada aliingia kejani, hao masanse manyu yake, akakwara kuwakanja brown, na ndio kakachiek.

Nekesa anadai mtasis wake alikua ndio amejengwa hio monyo na chama.

Walimkimbiza hosi juu yeye huwa na heart condition, but alikua ashabugda wakifika hosi.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/mayut-mabombee-hawajatokelezea-police-recruitment/

- Advertisement -

Trans Nzoia County Police Commander Jecinta Songa ame confirm hio maneno na ati washaanza investigations. 

Hao masanse wamewachishwa wera na body ya mama pima iko njifri Kimimini Cottage Hospital mortuary.

Tukikemba huku Kanairo, wale masanse mbexe wenye walimvaa mbwakala wao ndakas ya bukla pia wamewachishwa wera.

Kuna vida ili trend ikishow hao masanse, mjamo akiwa amedunga uni na ako na kidungi, wakimkuta war DCIO wa Oyole hadi kumuaibisha kwa baessa.

By Nicanory Muhando

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=T1we67C94bU

Comments
Loading...