Kenya's No 1 GhettoRadio

Mambang’a walimnyuria morio Githare wamefikishwa kotiko

0

Mambang’a mbexe, inspector na corporal, wenye walibambwa juu ya kumnyuria mjango Githare, walifikishwa mbwenya jana.

Vitalis Owino Ochilo alipatikana amebugda after alibambwa na manjege wenye walikua wana enforce curfew, saa jamo jioni, area code ya Mrandi iko Mathare North on May 3rd.

Investigations zilifanywa na IPOA zina link hao mambang’a na vile huyo morio alimanyuria, na waka recommend wabambwe na ku prosecutiwa.

Kwa statement, IPOA wanadai wali recommend Inspector Daniel Musau na Corporal Robert Mwangui wa chargiwe na murder.

ALSO READ: https://ghettoradio.co.ke/four-police-officers-arrested-over-robbery-with-violence/

Walikua wanafaa kufikishwa High Court Kanairo, Wednesday morning.

Wasee wa mtaa wanadai Owino mwenye alikua 36 years alikua kalesa Mradi akiishia number 10, kubuy keroma, alafu ndio hao manjege wakamgrab, ikiwa saa jamo jioni.

Body ilipatikana baaden karibu na mako.

Ati alibitikwa hadi kubugda alafu wakamsaree hapo kwa grao.

WATCH: https://www.youtube.com/watch?v=2xnPSPsCVP8&t=1s

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...