Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Mamode mbexe wako na beef juu ya peng ting

0

Kuna mode Kirinyaga county ako hosi after kupigwa mosheti na mode mwingine juu ya ngeus ako campo.

Ako na madent kwa mikono, mdihe na vidole.

Ni ma mode wa Karoti Girls’ High School, na wote walikua wananyemelea intern anado teaching practice, peng ting kuruka.

- Advertisement -

Sasa jana kalinuka kwa staffroom, mode mjamo alimuok na tick na kumkuta mwenzake juu alimshinda lugha.

OCPD wa Mwea East, Daniel Kitavi, anadai huyo mode alikimbizwa hosi ya mtaa after ku loose dibla kibao, na mode mwenye machete akabambwa.

Investigations zishaanzwa kujua ngori ilianza when.

Comments
Loading...