Kenya's No 1 GhettoRadio

Mangeus salasa wamebambwa kwa wedo na kupelekwa quarantine

0

At least mtu 70 wamesundwa quarantine cha nguvu na gova after wali break rules za kuzuia covid19mtaani ku spread.

Oyole pekee, hapo spine road area ya koma kuna ma ngeus more than salasa wa kisom walidandiwa nasra estate wakiwa kwa wedo.

Alafu wasee wengie zaidi ya salasa bado tu oyole walipatwa kwa machoche wakimochoa tei

Walipelekwa stenje oyole muda kiasi but wakapelekwa baadae quarantine Kenya Medical Training College jana usiku

Hao mangeus walisnitchiwa na mraia, wakidandiwa walidai wako less na wana observe social distancing lakini ithaa ya keroma ndio walijiuza

Inasemekana hao ma woman walikuwa wametoka easich.

OCPD wa Oyole, Wilson Kosgey, alidai hawawezi watinga kwa cell, watakuwa quarantine lakini watajikanjia hizo masiku zote

Comments
Loading...