Kenya's No 1 GhettoRadio

Mapassy, mahawker na mabeggers kubaniwa kupanda manganya

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Mapassy, mahawker na mabeggers wamekaziwa kuingia ma PSV kulingana na guidelines brand new za Ministry of Health.

Hizo regulations zimesundwa kwa Kenya Gazette zinadai mapassengers wakipanda mat ama bu wanafaa kupimwa temperatures, na ndani ya hizo ndai panafaa kudisinfectiwa.

Ngori ni madere na madonda wanafaa kurecord temperature za msee akishapanda ndani, in case waitishwe records na public health officer.

Ati ukipimwa upatikane temperature iko juu ya 37.3 degree Celsius, haufai kupanda, infact donda anafaa kupeleka county director na rieng kuna msee msick

Crew za mat pia wanafaa kutrainiwa vile rona ina spread na vile wanafaa kuziprevent.

Alafu wanafaa kuprovidia mapassengers na sanitizers na ma towels.

Passenger pia anafaa kuva mask na ifunike mdomo na mapua.

 

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More