Kenya's No 1 GhettoRadio

Mastude 23 wamebambwa wakimochoa magithaa ya curfew

0 1,125

Mastude 23 wa kidato Kirinyaga county walibambwa wakimochoa mambeko kwa bukla Mwea-East Sub-county.

Kulingana na mambang’a, walibambwa jana wakiwa nditni Club season Ngurubani, na mwenye hio baessa ni mode.

Walikua wamawamocho na leo ndio chuo zinatinguliwa.

Mwea-East Sub-county Police Commander Daniel Kitavi ame confirm hio riba, anadai manjege wakiwa patrol walipelekwa na mutaratara kuna mayut wanatangaza ushata kwa bukla saa utat usiku.

Kitavi anadai kubamba hio mbogi ilikua ngori, juu walikua wanarushia masanse madimanga.

Waliwabamba magyaldem 11 na maboyz 12 na bazu mwenye baessa ata chargiwa na ku violate COVID-19 protocols na kuuzia waniaju tei.

Hao mayut walikua wafikishwe mbwenya leo.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More