Kenya's No 1 GhettoRadio

Mastude wa kidato wako nditni juu ya kumpiga kombi mdenge

126

Mastude sita wa kidato wamechargiwa na ku gang rape riambez mwenye ni 16-years Nyeri County.​

Wako kati ya 13 years hadi 17 years, na wana chargiwa na counts mbexe, gang rape na committing an indecent act with a child.

Walifanya hio mambo on October 30th saa sita jioni, na ni jana walifikishwa mbwenya mbele ya jajiko Faith Mugongo.

Mdenge alikua anatoka chuo hio day, boy mjamo mwenye ni arif wake ndio alimuita.

Akiingia kwa room, waliingafu na ndakas wakampiga kombi.

Ati alikaa hadi the next day ndio akaripoti hio riba chuo.

Deputy princi ndio alimkimbiza hosi na waka confirm amerapiwa.

Hao maboys lakini wakijitetea walidai ni kuwekelewa, na walidai bondiko juu bado wanachop.

Mjamo hadi alidai anado KCSE na ati asha hata madarro juu ako nditni.

Jajiko alidai hio kesi ni genje, na hawezi kuwasare hadi apate report kutoka kwa probation officer.

Wako nditni Ruring’u Children’s Home na wataendelea kukesi on November 11.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More