Kenya's No 1 GhettoRadio

Matenants wamemtingia caretaker bunny ndani ya keja

0

Kuna matenants wamejaa gas wameamua kumtingia kejani caretaker wao juu wanadai ni bunny kuruka.

Ati huyo caretaker anawapeleka mbio juu ya rent na vile rona imearibu mambo siku hizi hakuna maziwa.

Wanasema works ilikatika lakini imewabidi wandonyo stuff za kejani ndio at least walipe deni ya last month.

Ati huyo care taker ni donga kivyake lakini amewakalia na vile walikuwa wanathani NI msee wa power hadi wamekuwa wakjiibamba kimbogi kwa zabe tenee

Wanadai bado wataenda kumshtaki kwa mambanga lakini hawatamtingulia hadi ame tii.

Comments
Loading...