Kenya's No 1 GhettoRadio

Matha amemrusha son wake kwa kisima akamanyuria

0

Kuna boy ana miaka nne village inaitwa Chepkogem iko Bomet County, amemanyuria after mokoro wake alimrusha yeye na kibronje wake mwenye ni 6 years ndani ya kisima.


Huyo bro mbiggy ali saviwa na maneighbour.
Hio ngori ili happen jana saa nnei mchana.


Kulingana na DCI report, Sharon Chebet aliwarusha waniaju wake mbexe kwa hio kisima ni 40 metres deep na kuwasare wa drown.


Uzuri kuna neighbor aliskia hao maboyz wakipiga nduru wakiwa ndakas.

Aliita wengine na wakawatoa ndani na kuwakimbiza hosi Longisa.


Bado haijajulikana mbona huyo matha alido hivyo.
Huyo nguna ako nditni, bado investigations zinaendelea.

Nicanory Muhando

Comments
Loading...