Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Mayengs wa kidato wamepigwa sus juu ya kujibonda pocha na ngweks mara mbexe

0

Madenge 17 wa Mugoiri Girls wamepigwa sus after kurudia keroma second round kujibonda special meal ya pocha na ngweks.

Mwenye alianika hii riba kwa social media ni Children Rights lawyer Ndungu Nyoro, na akadai hao mastude wamechapiwa wakanje fine ya miti kinde na punch kila mjamo wakirudi kidato.

School princi, Susan Mundia, amedai ni stude mjamo pekee alipigwa sus.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/masanse-wamempiga-kidi-guangi-getho-44/

- Advertisement -

Kwa hio post ya Nyoro, hio school admin iliwafukuza hao mastude wiki jamo kuanzia January 19th hadi January 25th, na walifaa kurudi na mapero.

Kwa letto ya sus, makosa yao ilikua mbexe, kujibonda mara mbwegze, na kufanya mastude wengine kuhata dishi.

By Nicanory Muhando

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=9dzFFsUlz70

Comments
Loading...