Kenya's No 1 GhettoRadio

Mayut 18 wanadedi daily juu ya ukedi

Principal Secretary wa ministry of health Susan Mochache anadai zaidi ya wasee mita 1.3 wako na ukedi na ati gava ina spend 25 billion kila mwaka ku manage HIV.
Alibanja akiwa Kitale, alidai kulingana na statistics, kila siku mayut 18 wako infected na ukedi.
Huyo PS ali adisia ati ni ngori juu mayut thao ngovo kila mwaka hubugda juu ya ukedi, na sio ati nini.
Amechanua mayut kukua ridhoo juu ukedi inamuoka na ubaya uki compare na rona.
CEO wa National AIDs Control Council, Ruth Masha alidai ingewaje kesi zingine zinatokana na Gender Based Violence, pia mayut kibao wanajitia hamnazo design hawabuyi ukedi.
Ati mayut hudai nayo nayo, wata survive na ARV, wanabuya ball kuliko ukedi..

Comments
Loading...