Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Mayut Mabombee Hawajatokelezea Police Recruitment

0

Mayut mtaa ya kibombee, hawakutokelezea kwa recruitment ya manjege yenye ilifanywa Nyayo stadi.

Mutaratara tuna get ni ati instead, mayut wali turn up kwa hio recruitment ilipangiwa wasee wa L.A na Karen ni mayut wa Kibra slums, aka ‘Lower Karen’.

Kuna wachache walimuok kutoka Langata.

Ilikua March 24th, kumanisha wenye walitokelezea ilikua mtere kiasi.

READ ALSO; https://ghettoradio.co.ke/candidates-mbeere-wamelenga-kcpe-juu-wako-kwa-mboka-ya-jaba/

- Advertisement -

Recruitment centres zingine mayut walimokre, lakini Lang’ata/Karen center ilikua na mayut 264 pekee.

Inasmekana kwa hio mchujo, wenye hawakumake walitolewa tu juu ya mapaper.

Mambanga wanashuku watoto wakinyoso labda wanakula mbuku mayolo ama labda tu hawataki kujoin service.

13 slots pekee ndio zili allocatiwa hio centre; malion 11 na mangeus mbexe.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=9dzFFsUlz70

Comments
Loading...