Kenya's No 1 GhettoRadio

Mayut wamebambwa wakiwamocho aluta

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Mambanga mtaa ya Buru jana ngware walibamba mayut kadhaa wakitoka bash aluta kwa hio esto.

Hao mambaru waliraid dangulo wakaget hao ma teenagers wakiserereka wengine wakitoka.

Ni maneighbour waliwaseti.

Watafkishwa mbwenya juu ya ku break rules za covid 19.

Mbiggy wa stenje ya Buru, Adamson Bungei, anachanua mapero wenye waniaju wao wako missing kuenda huko.

Ati kuanzia Monday hewa ilikua inachuna huko ilikua noma, mezesha walijitingia ndani ilibidi mambanga kutegea hadi ngware wakimochoka.

Hii na happen day jamo after County Commander wa Machakos Issa Mohamud aliganda after alienda kuuliza management ya Whisky Falls Lounge mbona wasee wanatei magithaa ya curfew.

Mbogi ilijam na yeye, walimkuta war, ilibidi ameripoti hio riba kwa stenje Athi- River.

Juu ya hio noma, mtu chweza wenye walikuwa bado kwa hio baessa wakimochoa walibambwa.

 

 

Get real time updates directly on you device, subscribe now.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More