Kenya's No 1 GhettoRadio

Mayut wamerape ngeus hadi akamanyuria wamebambwa

0

Manjege wa Directorate of Criminal Investigations Kuresoi South, wamebamba suspects mbexe wenye inasemekana walikuwa part ya mbogi ilipiga kombi ngeus hadi akamanyuria.

Bernard Korir mwenye ni 32 years na Nelson Langat mwenye ni 40 years wako saa hii stenje wakitegea kupelekwa kotiko.

Inasemekana walimganda yengs mwenye alikua 26 years na baaden kutoa kutu na yeye, village inaitwa Chigamba, on September 19th.

Huyo nguna baaden alimanyuria kutokana na injuries.

Already kuna msako ya members wengine wa hio gang.

Kulingana na DCI, hao maguangi watawekewa hadi murder charges.

 

Comments
Loading...