Kenya's No 1 GhettoRadio

Mayutman walisneak kwa chuo ya madem wamebambwa

0 265

Macandidates kinde wa Anestar Bahati Boys’ Secondary School wanado KCSE wakwia nditni after walibambwa Thursday usiku.

Ati walibambwa wakisneak, walikua ndakas dorm ya kidato ya magyaldem, Anestar Precious Girls’ Secondary School.

Nakuru County Commissioner Erastus Mbui anadai bado hawajajua hao maboys walienda hio chuo ya madem kudo nini, lakini walibambwa kabla hawajachafua rada.

Ati mbogi ilikua bwaku, but ni maboys das pekee walibambwa, hao wengine walikacha.

Ni mabeast wa Githioro Police post walimuok teke after hao madenge walipiga nduru.

DCI kwa twittment wanadai ilibidi mambaru wametumia tear gas juu mbogi iliwalemea hadi masanse wakabuya.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More