Kenya's No 1 GhettoRadio

Mboch amefikishwa mbwenya juu ya kutoa kutu na boy wa raima

0 1,289

Kuna mboch mwenye ni 32 years amefikishwa kotiko na kuchargiwa na kumdefile boy mwenye ni 13 years for 8 months, na hadi kumsho vida za ngwati.

Violet Nekesa Wekesa, alifikishwa jana Mililani Law Courts, na ati alido hio mambo wakiwa mtaa ya Mwiki kati ya July 2020 hadi February 2021.

Ati hio mambo mapero walidiscover wakidiscipline huyo boy on February 21st.

Mtasis wa huyo boy ali complain tenje yake ime colours kwa keja.

Hapo sasa mapero wakamuamulia war huyo boy, na ndio akatii yeye ndio alipinji hio rauo ndio akembe ngwati.

Alidai ni mboch wao ndio alimchanua vida za porno.

Mapero waliingiza njeve wakamkimbiza hosi afanyiwe tests alafu wakachapia mambaru.

Kwa stenje boy akasho masanse huyo mboch amekua akitoa kutu na yeye since last year July.

Judgiko alimkanja huyo ngeus bondiko ya nusu mita after alikwara charges, na watarudi kukesi March 4th.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More