Kenya's No 1 GhettoRadio

Mbogi hudingo madere Southern Bypass wamebambwa

0 830

By Nicanory Muhando

DCI wamewabamba mtu sita wenye wana suspectiwa ni members wa mbogi hudingo madere Southern Bypass.

Hao sita ni Messi Martha Mutioka, Tevin Njuguna, Edward Baraza Shikoba, Lawrence Gitahi Ndirangu, Kenneth Maina Chege na David Lugali Asianja, wote kati ya 21 na 32 years.

Kwa hio operation, hao mabeast hadi walirecover matenje 112 zenye zinaaminika zilisanywa.

Mdenge mjamo mwenye aliwai ripoti kunyafuriwa kwa hio baro ashafika njiste Lang’ata na aka identify rauo yake, na masanse wanachanua wasee walisanya kufika stenje.

Hio inamanisha total mbana ya wasee wamedandiwa juu ya crime uhappen Southern Bypass imefika mtu 15.

Wiki mbexe zishapita kuna mbogi ili arrestiwa, hadi kuna teenager alibambwa, na last month mbogi ingine ilidandiwa after walimdingo kadere after amesimamisha mrenga ndio son wake anyore.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More