Kenya's No 1 GhettoRadio
Kenya’s Number One GhettoRadio

Mbogi walidingo na kurape wife wa msee wanasakanywa

0

Manjege wa Athi river wanasakanya mbogi ya maguangi ngovo wenye walivamia yutman kejani kwake, wakarape mama wa kwake akikemba alafu wakadingo.

Assistant chief wa Katani, Nicholas Wambua, anadai walikua wamejipin na tools za kupiga mosheti.

Walisanya matenje, lappy, ndai na maziwa ilikua imesundwa nditni.

- Advertisement -

Huyo wife ni miaka salasa hivi, na akipigwa kombi, huzzy alikua ametingwa na Kamba.

Huyo nguna baaden alikimbizwa Kitengela health centre ku treatiwa.

Chairperson wa hio esto, Jimmy Nguli anadai kesi za kupiga koto of late zimezidi, but hii ya majuzi imezidi.

Comments
Loading...