Kenya's No 1 GhettoRadio

Mbogi wamebambwa na tomato sauce imboste

0 243

Wasee wanachanuliwa wakue rada wakibuy stuff sana sana ma spices, juu kuna mbogi wanaunda ma imbo harmful.

Mambaru wakiwa ghetto inaitwa Bondeni yenye iko Nax, walibamba mbogi walikuwa wanaunda tomato sauce imboste na hao mambanga waliget tomato sauce ya kama kappa 80.

Hio operation iliongozwa na Nakuru County Commissioner Erastus Mbui.

Walikuwa wana mix ma chemicals, gashu, waba na ma preservatives.

After hapo wanaipasha warena ikue smooth, na kwa hio process yote hakuna nyanya ina adisiwa.

Mwenye alikuwa ndio otero alidai kwanza hizo ma tomato sauce ziko na demand bwaku, yeye husupply zaidi ya litre ing’ang’a kwa mahoteli na mahawker wa chipo mwitu mtaani.

Nakuru Town East Police Commander Elenna Kabukuru amedai hio mbogi wamekuwa hio mboka since February 2020.

Hadi walikua na malabels kibao, kwanza kuna tomato sauce inaitwa Sky Light ndio kusema, na zote wameweka alama ya Kebs ndio wasee waamini ni mali safi.

Kuna ma sachet, na mtungi ya 5 litre wanandonyo gil na chweza.

 

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More