Kenya's No 1 GhettoRadio

Mbogi ya kunyafura wasee matenje kwa mandai wamefikishwa mbwenya

0 1,097

Manjege wa Kilimani wamewabamba mtu nnei wanasuspectiwa ni wa mbogi hunyafura wasee kwa mat matenje.

Ni mamorio utat na mdenge; Joseph Irungu, Arnold Luseno, Evans Thiong’o na Melody Chamakali.

Walibambwa Argwings Kodhek road yenye iko Kilimani wakiwa kwa mat KAN 179X

Wasee walikua wameripoti hio mrenga ndio hao huzoea kupinji.

Wakibambwa walikutwa na matenje ngovo, na sanse anaitwa Peter Yegon wa stenje ya Kilimani alichapia mbwenya Kibera ati rauo mbexe the owners washa zi identify

Alisho jajiko Esther Bhoke ati washasambaza mboto na details za hio mrenga na hio mbogi kwa mastenje zingine, ndio wenye pia walinyafuriwa na waka record statements wamuok.

VIDEO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=TsEZXtqFItk

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More