Kenya's No 1 GhettoRadio

Mbogi ya mtu sita wa wamedingo supa L A

0

Kuna mbogi ya mtu sita CCTV imewaanika wakidingo kwa Supa iko mtaa ya LA.

Kwa hio mbogi, maguangi utat walimuendea cashier na wakapita na maweng ilikua kwa cash box.

Ilibidi cashier mwenye ni mpandree ku tii juu senke iliwekwa kwa mdihe saa hizo analambwa mavibare.

Kulikua na msee jamo ameenda kwa hio supa kubuy, na yeye aliambiwa akiss floor, saa hizo wanamsaksua.

Iliwatake dakika mbexe kusafisha cash box na wakang’ada baaden.

Of recent vida kibao za CCTV zinasho madingo wakisanya ma cashier.

Ukipatikana guilty juu ya robbery with violence, unaweza doze zabe 14 years.

 

Comments
Loading...