Kenya's No 1 GhettoRadio

Mbogi ya wash wash wanasakanywa na masanse

0 508

Mambang’a wanasakanya mbogi wanashuku ni wash wash wenye huprint currency mbwakni.

Vida ya hao wahala utat wasee wanashare kwa social media inaonyesha wakimkuta beating msee mjamo.

Mwenye anabeatikwa kuna vida ingine alikua ana rombosa na mangeus mbexe na hizo maweng na mamzingaree

Alikua anachocha vile wataenda trip Coasto na hao mangeus kuserereka.

ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/eastleigh-estate-on-spot-over-house-helps-mistreatment-and-exploitation/

Hio mbogi walimganda juu ya kuanika hizo maziwa na ha work smart.

Masanse sasa wanasho wasee kukua ridhoo, kuwapeleka na riang’ wakikemba hio mbogi.

Unaweza kemba hio vida asapa.

VIEDO OF THE DAY; https://www.youtube.com/watch?v=_dLORX6Cpfk&t=4s

By Nicanory Muhando

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More