Kenya's No 1 GhettoRadio

MCA amefikishwa kotiko juu ya certy imboste

0

MCA mjamo Trans Nzoia County alifikishwa kotiko Kitale jana na kuchargiwa na forgery.

Ben Wanjala Wanyonyi, ama ukipenda jina ya mtaa ni ‘Mulipuko’, ana accusiwa kupeana makata kwa EACC ati aliwai D plus kwa KCSE 2001.

Huyo bazu alipeleka false information Huduma centre KTL na alijua aligwara paper.

Charge ya mbexe ni ati ali make false declaration na ni against Section II of the Oaths and Statutory Declaration Act.

Ali swear affidavit mbele ya commissioner of oaths, Nixon Sifuna, ati majina Wanyonyi Ben Wanjala na Wanyonyi Henry B ni za msee jamo.

Count ya nnei ni ati aliskumia County Public Service Board ya Trans Nzoia hio document bado.

Lawyer wake alitry kumtetea ati ni msick na ako admitted hosi lakini judgiree JK Ngarngar alidai hatambui hio, medical report alikanjwa haitoshi mboga.

 

 

Comments
Loading...