Kenya's No 1 GhettoRadio

Mdenge alirape boy wa miaka kinde anasakanywa

0

Mambanga Makueni wanamsakanya mdenge mwenye alimrape boy mwenye ako na miaka kinde.

Kulingana na mambanga wa stenje Kavumbu, hako ka boy ni arif wa huyo ngeus, kalikua kameenda kumtembelea kwake.

Alikuwa ameishia huko kucheza na son wa huyo ngeus last week, na akaspend huko, na ndio huyo womandeh akaona chance ya kutoa kutu.

Ati alidara dara huyo boy hadi mjulubengs ikatii, na ndio akachangamsha ikusdeh.

Huyo ngeus alimpea hadi boobs zake akamuambia azinyonye

The next day akamwachilia arudi home na akamtishia asi snitch

Inasemekana huyo boy alipelekwa hosi Makueni Referral Hospital kufanyiwa medical tests.

Juu ya hio ngori, ilibidi amehepa mtaani but bado anasakanywa.

Comments
Loading...