Kenya's No 1 GhettoRadio

Mdenge amemnyuria chali wake juu anamcheat

0 1,130

Mambang’a Mwea West Sub county yenye iko Kirinyaga wamembamba mdenge alimnyuria chali wake juu ati anamcheza.

Mwea West Sub county police commander Stephen Oka ame confirm hio riba, akidai ati Jacklyn Wawira ni 19 years, na alimweka mpini chali wake, Eric Gitonga mwenye ni 25 years, hadi akabugda.

Huyo peng ting ni drop out wa Form 2, na alimnyuria chali wakiwa kwa compound ya shosh wake.

Chali alikua anado wera kwa stenje ya petty, walingoreana na huyo mdenge akidai chali anamcheza.

After hapo wakaanza kugandana, dem kuona analemewa akakimbia kitchen na kugrab dagger na kumnyuria chali.

Ako saa hii nditni stenje ya Kiamaciri, na mambaru wanadai washa recover murder weapon wakiendelea na investigations.

Bado tu hio mtaa, kuna morio ana miaka salasa amebambwa juu ya kumnyuria mama mwenye ni 28 years.

Mwea West Sub county police boss Stephen Okal anadai hawa nao walikua wanachezana, lakini lion ndio alibonda zaidi.

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More