Kenya's No 1 GhettoRadio

Mdenge amerapiwa combi ako hosi

0 459

Kuna mdenge wa Form 2 mwenye ni 17 years Kitui Central ana treatiwa Kitui County Referral Hosi after ali kidnapiwa na kupigwa kombi na mbogi ya mjango nnei.

Ati ilikua jana magizani, alitoka njei kunyora, alafu kuna mjango akamdandia na kumvuta.

Alimngafu mdomo asipige nduru, akavutwa hadi kwa kichaka kwa giz na kupigwa batty hadi kuyoyoma, kukiche tifi akaona hao wengine utat.,

Anadai walikua na ngeus mwenye anamnauwo, alafu wakazidi kumganda na after hapo kila morio akatoa kutu na yeye.

After six hours ndio alirauka after kuchew kutokana na hio kombi.

ALSO READ; https://ghettoradio.co.ke/dee-yut-ako-in-charge-ya-security-wamemnyuria-juu-ya-ku-snitch/

Mokoro wake anaitwa Catherine Musyoka na anadai usiku mzima walikua wanamsakanya, wakampata baaden na dibla kibao kwa body.

Wanataka manjege kuanza msako ya hio mbogi waget justice, juu daughter wao saa hii ako traumatized.

Mbiggy wa stenje Kitui Central, Chrispinus Ogutu anadai washabamba suspects mbexe, hao wengine wangali mitini.

WATCH; https://www.youtube.com/watch?v=8CSEdtp3Hb8&t=341s

Comments
Loading...

This website uses cookies to improve your experience. We'll assume you're ok with this, but you can opt-out if you wish. Accept Read More